[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi ni hatariii tupuu.Kipenseli ana id nyingi huyo kuna moja iko piem imejiongelesha wee me naichora tu!! Anavyoniona humu jukwaani najizima data anajua na piem atanikuta hivyo, msg moja tyr nishajua huyu Y2K sijui kaja na id nyingine kunisumbua tu!
Afu kiliacha namba zake za simu, ningekua mafia ningempa Kantri wamalizane lkn hata Kantri mwenyewe hajui km hata namba ninazo!! Nachukulia ile ki sister Marry wengine bado tuna utu na utulivu
π π nipo kule naosha macho naburudika moyooo.. karibu ugonge likeNapita kwa kunyataπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hebu weka huo uzi leo, unataka nikaukee koo kwa kuuhamu huo ubuyuuu??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf ina watu achaaa kabisa ila kuna siku nitailetea uzi hii story ya member wa jf bila kumtaja, watu wajifunze na wacheke mana lazima nimsimulie alivyo km mzungu wa kigamboni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem hebu sema kweli,Ndio hao wanaume kama mabinti? Niwekee list yao hapa wote, siku nikitoka nimevurugwa nakuja kumalizia stress kwao
Please, list majina yao hapa wote. Huu ujinga wa wanaume kuwa kama wanawake huwa unanikera sana.
Nilipanga nisiwe naingiaingia tena huku jf naona hakuna sana issues za maana, lakini hawa naomba wawe wa mwisho mimi kuhangaika nao
Ur flower ts miii, yuu knou?I was charting with my flower this night and she say this word i enter jf i see this word i remember my flower
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaswende na kisonono sijaonaa mbna.Ko wewe unataka kwanza wakuvuruge wengine hasira umalizie kwa wengine?? Hii kali huoni km ni dhambi?? Hapa tunakanyana huo unaoleta wewe ugomvi!!!
Kwanza ushapima?? Mana kwenye ile list kuna magonjwa sugu yapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umelipataπ?ngoja nitafute kama kuna file lakoπ
Pacha πππ..Pacha
Za wewe?Pacha πππ..
nipo naendelea kupika kuku wa wateja
Mie mzima Pacha ππZa wewe?
Mjomba za asubuhi ππMie mzima Pacha ππ
Jua likitoka siku huwa imeisha ..
Natumai u mzima kabisa.. na waendelea vyema kabisa.
Karibu kahawa shangazi πππMjomba za asubuhi ππ
Asante Mjomba ππKaribu kahawa shangazi πππ
π π kuna mihogo na korosho pia hapaAsante Mjomba ππ
Hivo kula wew πππ π kuna mihogo na korosho pia hapa