Selfika na JF: Snap it. Show it

shida nini mtu wangu, njoo pm tuyamalize

Piem unilete km swahiba ako?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thubutuuuu!!!

Muwe na vifua kaka zetu, wote tungekua mafriji hayagandishi tungewaleta watu wengi humu!! Wengine wanatuma pic zao na namba za simu kabisa lkn unamkataa kistaarabu maisha mengine yanaendelea

Hizi mambo sio nzuri kabisaa, najua wewe muelewa na sijawahi kugombana na wewe lkn mmezingua na mwenzio kipenseli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbna km unataka kuyatindinganyaa tenaa?? Hutaki Amani weyeee?

Crews uchwaraaa zivunjweeee.
 
kwenye hayo mambo yake ya kusave picha za watu, kusema watu sihusiki, ila nilikua najua amachokifanya

sema nimeshaongea nae, hatowasumbua tena.... labda aje na id nyingine
 
Boraa umchanee ukwelii, tena makavu live km hiviii. Woiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…