Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa hapaaa
Manataka kwenda wapi sasa🤣🤣🤣
Au tukuongeze kweli list? 🏃🏃🏃
Jack ni mbayaaa🤣🤣🤣
Ndio nimeshtuka hapa😂😂😂😂
Sina pa kumpeleka mwenzangu, yangu yenywe ni mazito😂😂😂
 
Najitolea kuwapa mafunzo bure hao Vijana juu ya namna ya kutunza Siri za ndani.

Hili tatizo limekuwa kubwa sana miaka yenu Mjukuu.

Sisi miaka ile mnaweza kulala Njaa na Familia lakini Majirani wasijue.

Miaka yenu hii Mwanamke akikosa tu hela ya Saluni kwa mumewe, basi ataanza kumchamba Huyo Mumewe Mitandaoni hadi watu walioko Marekani wajue.

Nyie lazima tuwarudishe Unyagoni na Jandano kwa watoto wa kiume.

Vinginevyo mtaisha

Haiwezekani Umeachana juzi na mpenzi wako alafu yeye kila saa anaposti status habari za Bamia

Hivi kama hauna moyo Mgumu si utajikuta umeanguka kwa Presha 🙌
 
🤣🤣🤣🤣😂😂!!
Leo ndio leo babuuuuu unaonekana una mabalaa humuuuu🤣🤣🤣🤣😂!!

Nimekaa paleeee 👉👉🙇🙇🤣
Kuweni na Huruma na Wazee Mjukuu

Babu yenu sina balaa zozote humu, labda ukute hii ID alikuwa anatumia last born wangu, maana kuna wakati alikuwa anaitumia nikiwa naenda kulala 🤪🏃🏃
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠🤠🤠!!
Hakii Nacheka kama mazuri vilee


🤣🤣🤣🤣🤣means una kibamia 🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠😂😂😂!!


Weee babuu wakati umesifiwa hapoo mfyuuu!!🤣🤣🤣🤣🤠🤠!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…