Selfika na JF: Snap it. Show it

Mr voucha
Jobless tuko na furaha

Mungu akubariki


Jamani
Airtel zote nilizoa Mimi
Na Voda 2
Mungu anipe nini tena Mimi [emoji91][emoji91][emoji119]

Haters watakasirika
Na bado[emoji1787]
Sijawatuma mzubae
Wajumbe walikua busy na umbea 🤣🤣🤣🤣
Hongera mama mchungaji
Tuselfike sasa
 
I'm the Supastar weweee 😂😂😂🤣🤠!!
Mfano nimeuliza mambo ya nyuma nimtume Penseli Ili iweje?? Nani asiefahamu hizo habari humu ???
Nahuyo anaeshadadia na kunitag kabisa wamemtuma???
Nyieeee
 
Tangu lini Wazee wakawa wana peleka Moto 🤪

Yaani hapa nikiwa nacomment kuna mtu anasema angalia Kibamia hichi kina comment

Mbaya zaidi hujuani hata na mmoja humu.
 
Kwahiyo ulitaka kuamini kabisa kuwa hazitanifikia.? Zilifika zote.

Huyo mmoja aliyejisilibia ndio kiini chenyewe, maana alikuwa anamjaza dogo ili aendelee kutiririka[emoji1].

Na huyo me ndo namtaka sana kwann yeye ajizibe?? Hapa huyo Penseli ilitakiwa aje alete walivyoanzana lazima kuna vitu naye alichangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…