Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,364
Sema jf Inachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni kuni, basi kuzichochea unaweza.
[emoji1][emoji1]
Jiraniiii...Yanii humuuu kuna matatizo makubwa sana!!
Mfano yale mambo ya penseli eti mie ndio namtuma awanange kuhusu jamaaa mtu tulishaachana miaka nenda rudi akawa na list ya wanawake kibaoo humu hata jf seva shahidi Mtu nishamove on na maisha Yangu nae anaendelea zangu kuselfika zanguu kwaraha zangu mieee ๐ค ๐ค ๐๐ na life lake huko Kwamba hadi leo namtuma Penseli kwao what for???????? Namuogopa nani labda???? Namuogopa nani labda???
Ili nipate nini yani??? Mbona habari wanazijua Wengi humu na hakuna asiejua Kwanini nimtume Penseli????
Nazile dislikes jf nzima nilikua namtuma??? Mbona watu kibaoo humu wanaropoka ropoka tu kama vichaa na kuvamia na hamsemi wanatumwa nanani nyieee msiniletee bange zenuu tasavaliii!!!
Kwahio Na hao ambao hadi wananitag nao wanetumwa nahao???
Kwa bluetooth eeh sawa๐๐๐๐๐
Kumbe ndio ilikua ndoto yako ya kila siku, wakupe na kaugonjwa kamoja bas
Yanii humuuu kuna matatizo makubwa sana!!
Mfano yale mambo ya penseli eti mie ndio namtuma awanange kuhusu jamaaa mtu tulishaachana miaka nenda rudi akawa na list ya wanawake kibaoo humu hata jf seva shahidi Mtu nishamove on na maisha Yangu nae anaendelea zangu kuselfika zanguu kwaraha zangu mieee [emoji1783][emoji1783][emoji23][emoji23] na life lake huko Kwamba hadi leo namtuma Penseli kwao what for???????? Namuogopa nani labda???? Namuogopa nani labda???
Ili nipate nini yani??? Mbona habari wanazijua Wengi humu na hakuna asiejua Kwanini nimtume Penseli????
Nazile dislikes jf nzima nilikua namtuma??? Mbona watu kibaoo humu wanaropoka ropoka tu kama vichaa na kuvamia na hamsemi wanatumwa nanani nyieee msiniletee bange zenuu tasavaliii!!!
Kwahio Na hao ambao hadi wananitag nao wanetumwa nahao???
Wako vizuri..We gunners are unstoppable ๐ค
View attachment 2724293
Hahahhaha weka hapa tuone wote tafadhali. Maana kila mtu ana play victim humu ndani๐Huyo mwanamke mwenzenu aache uchawi banaa.. Mie humu sina site na mambo za watu.. Nashusha mkeka sawa sawa na informer wanavyonipansiongezi hata nukta.. ๐
sasa mie naleta mkeka watu wanageuza madaa.. basi acha nibaki nayo.. maana watu wana shindwa tafsiri wanaanzisha mengine .. ๐ ๐ ๐ bye banaaaaa.. mikeka nitabaki nayo๐๐๐
Mazito kweli. Mambo ya vijana hayo.Mmh mambo mazito sana
๐๐๐Kwa bluetooth eeh sawa๐
HeeeSaint Anne come this way unaitwaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1783][emoji1783][emoji1783]!! Kumbee nawewe mnaa au nimesoma vibaya???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1783][emoji1783]!!
ukichoka kulalamika uje pm mchumba
nibembelezeni niweke ๐คฃ๐คฃ๐คฃ msipo nibembeleza basi nabaki nayoo ๐ ๐ ๐ .. mie naweka mzigo kama ulivyo mwingine ananimbia natunga how ? huo.mkeka uwasaidie usikae unacheka na mtu hapa badae anaenda kukuanzishia mikasaHahahhaha weka hapa tuone wote tafadhali. Maana kila mtu ana play victim humu ndani๐
Shida Wana kosa forward mwenye nja ya magoli, wanted mpata hata benzema Ange offer difference.Wako vizuri..
Alipigwa ban kwa uwongo maana nilimwambia aweke hata pm namsalimia mambo huko pm๐Haukutaka kuli puka kwa hasiraa kweli๐คฃ๐๐
Una kaugonjwa ka aina gani hapo?mana nahitaji kapya๐๐๐๐
Ngoja niku connect chap nkupe ka ugonjwa kadogo๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃWanataka tuachike hawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajitetea๐๐๐Wamenikosea sana Babu yao
Hhahahahah boss, weka tafadhali watu watoe yao ya moyoni.nibembelezeni niweke ๐คฃ๐คฃ๐คฃ msipo nibembeleza basi nabaki nayoo ๐ ๐ ๐ .. mie naweka mzigo kama ulivyo mwingine ananimbia natunga how ? huo.mkeka uwasaidie usikae unacheka na mtu hapa badae anaenda kukuanzishia mikasa