Selfika na JF: Snap it. Show it

Bora wangesema mimi naumwa figo kuliko kusema napitia mademu humu, mana mimi napombe ni damudamu😅
 
Wasamehe tu babu
Nimewasamehe, ila jambo hili kutoka Moyoni kabisa sijalipenda.

Na it seems, Vijana wengi wa miaka hii hamjui kutunza Siri.

Kama mnaweza kuwa na Mahusiano humu, kwani ni lazima kila mtu ajue.

Jifunzeni kutunza Siri, kama mnaweza kuhadithiana haya vipi kama tulikuwa tuna Vibamia, si vyote mtaviweka hadharani jamani.

Tukiwa tuna comment hapa mtaanza kusema Angalia Kibamia hichi kinapita

Jamani heshimuni Privacy zenu
 
Hahahahahaha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…