Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona kuna watu wanataka niwape radhi, tangu lini Wazee tukawa na hayo mambo?

Sikuwahi kufikiria kama mtafikia hatua ya kuvunjiana adabu namna hii.

Sijapenda ๐Ÿคจ
Tena nimesikia umesifiwa kwa kusimamia ukucha babuuuu nikupe hongeraa tyuuuu sa nifanyeje???

Babuu kama ndio mnaambizana na wajukuu zako huko mnikome mieee jf Nishashindwagaa kitrambo sanaa so pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ!!
 
Naona Vijana wanaleta hadithi za abunuasi, hayo mambo Wazee hatuna kabisa.

Kwanza umri huu unakuwa unatafuta nini kama sio kutafuta aibu tu

Bahati mbaya sina mtu nawasiliana naye Nje ya JF, kwahiyo mambo mengi hapa nina uhakika ni Uzushi tupu
 
Wote tunajua sisi Wazee Jogoo huwika kwa mwaka mara moja tu, sasa hao mabinti mnataka tuwe nao kwa kazi gani?

Mabinti na vigori ni kwaajili ya Vijana tu,

Huo ni mtazamo wetu Sisi Wazee
Kwanza mi dizain ya wanaume wanaochekacheka kupitiliza nakila mwanamke humu mi nawawezeaa wapiii????๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜!
Huo moyoo sinaga kiukweli!! ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
! wee babu Sitrakii kabisa hio tabia ya kuwasambazia huu uongo!

Nipo napambana nahare yanguuu hukuuu nishakomaga muda sana!!
Afu Hizi habari nilishaambiwaga nikamuuliza mtu fulani Hum!!
 
Mmmh mbona kama kuna ukweli๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™€๏ธ
 
" Huyu kapewa gono, yule anaumwa figo, yule ni single mother, fulani ana ngoma kamuambukiza fulani, yule kaliwa sana mwisho kachukuliwa na fulani, wanawake fulani ni low class..."

Hayo ni maneno ambayo huwezi kusema yanashangaza kwa mtu yoyote mwenye akili timamu, ila yanapozungumzwa na jinsia ya KIUME tena katika namna fulani ya kimbeambea, inatia mashaka kidogo. Katika hali ya kawaida mwanaume unaumiaje mwanamke akitongozwa, mbona ni issue za kawaida sana aiseeh..? Fulani analiwa sana/kaliwa sana, mbona sioni chochote cha ajabu kiumeni?

Sijawahi kuvutiwa kutaka kumfahamu vizuri huyu PENSELI, ila sasa napata wasiwasi juu ya Manhood yake.

Dogo Penseli 4 jirekebishe, kama kuna wanaokutia moyo kwenye hizo harakati zako ujue kabisa wanakupoteza.
 
Shoga angu leo toa yote ya moyoni maana wamezidi kukuonea๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Nasubiria list yakoor vouchaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]!!

Nimeambiwa namtafuta hanii kaniacha khaaaa!!! Huyo honeyyyy mwenyewe wangejua ratiba zake zote ninazo wangetuliza viharage vyao tyuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ