Humu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa
cocastic au
Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaa
Ila kwa ufupi inaonekana kuna member wana group zao huko pm wanawasema na kueneza mambo kwa kuwazushia baadhi ya members humu kuwa wana mahusiano au wanakulana na blaa blaa kibao
Hayo mambo yamepelekea kukosa utulivu humu ndani kiasi ambacho kimewakasirisha wajumbe kwa hiyo wamekusudia na wameanza kulipua mabomu