Selfika na JF: Snap it. Show it

Mpaka pesa unatuma mchuchu!!

Nilikuwa kufunga mzigo sasa hapa ktk kuchat dogo akaomba nimnunulie nguo za mazoezi anitumie pesa, nikamjibu hapana potezea nitakupa km ofa tyuuu!! Na ukiangalia hiyo nguo ni km dollar 20

Sasa ile mizigo nikaiweka na ya dukani pamoja ikaenda cargo na me kwenye bags zangu nilibeba vitu muhimu tu

So nilivyofika nikaona kwann nisimchukulie za kkoo hapa chap, na nikiangalia mzigo unachelewa mpk nifanye clearing nikamuuliza nikutumie pesa au utanunua mwenyewe?? Akasema nitanunua we nitumie tyuuu!!! Ile kiurafiki kaka na dada
Nikamcheck dogo wa dukani nikampa namba akatuma 40,000 ile kapokea huyo jukwaani ooohoo Kantri ulisema cute hawez kuja mbona kaja kwangu kabla ya siku haijafika??? Dah!! Nilihuzunika nikatumia busara…….

Chino kesho ntamalizia niache kwanza huyu sitomfaidi ninavyotaka
 
usilianzishe kabla sijaamuka πŸ˜…πŸ˜…
 

Safi sana ukiona km utatekwa nitumie ss hivi bro
 
Vita hii Ni kubwa chino siiwezi ingilia..

Kikubwaa anza kuselfisha vitu kina chino tukipenda vitu tusapport harakati za mtu mweusi.
 
Pacha hizo private issues USI reveal out Sana.
πŸ‘‰Muulize kwa wem tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…