Selfika na JF: Snap it. Show it

I was given as a gift tu mkuu, zilikuwa jbl tune tws.
๐Ÿ‘‰Nili sikia 200+, Nika Baki na earphone za kawaidaa.
Huwa napata tabu kupata earpods nzuri ambazo ziko kwenye bajeti yangu nyingi huwa napata feki kwa hiyo ulivyozisifia nikawa interested ndo sababu nikauliza bei nilihisi zitakua ghali kidogo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, Mkuu huko uliko Wana access ya kuuza vocha, service ya tz๐Ÿค”
Nina kibanda changu cha vocha tz chief kuna mtu ananisaidia kuuza kwa hiyo huwa naomba vocha kadhaa kwa ajili ya kurudisha kwa jamii
Kuna watu huwa wanauhitaji kweli humu na dua zao zinapokelewa na mola mambo yanaenda poa mkuu
 
Me ndio nataka awalete pap bana hii crew wapo Pipo hizi hapa na walisema hivi na mabwana zenu hawa hapa afu yeye apotee atuachie kazi ma MC tuchachue shuhuli

Ktk ile crew kuna pipo ni papai, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie sipati picha nayeye eti akawa anajibaraguzaa, mbna ataikimbia JF, nitashuka nae mzima mzima.

Woiiiiiiih
Kuna Mwachiluwi kutoa maneno huku kupeleka huku ( hii sio kabisa ) ...hapa ni stress free zone tusichoshane... nakuja na mwingine.. natembea ila tutafika tuu.. tunataka tukae kama zamani... hizi biashara za kuchochea moto sio kabisa

upasuaji unaendelea
 
Nina kibanda changu cha vocha tz chief kuna mtu ananisaidia kuuza kwa hiyo huwa naomba vocha kadhaa kwa ajili ya kurudisha kwa jamii
Kuna watu huwa wanauhitaji kweli humu na dua zao zinapokelewa na mola mambo yanaenda poa mkuu
Safi mkuu, na uzidi kubarikiwa.
๐Ÿ‘‰Siku Niki okota dhahabu Kama ya mzee wa sisu, Nita watumia pia๐Ÿ˜
 
Safi mkuu, na uzidi kubarikiwa.
๐Ÿ‘‰Siku Niki okota dhahabu Kama ya mzee wa sisu, Nita watumia pia๐Ÿ˜
Ufanye hivyo ni muhimu sana katika kukuza ustawi na kuwa karibu na Mungu
Maisha yetu yanategemeana sana
Mwenye uhitaji akipata akikuombea na mambo yako hunyooka pia
 
Sio moja yatakuwa yote mapapai sio bure wanaume mkae mjadili wanaume wenzenu wanavyokaza mademu!!! Nyie kibolo nangai hakifanyi kazi??
Ndiomana kila kona tupo nao sambamba kumbe nao wanawataka hao mabwana??! Khaaaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikisemaga mie, nna nongwaaa.
Semeni nyie wenyewee, manjegekaa ya wanawake toleo la 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ