unajia nini Bro! zamani tulikuwa kama ndugu.. Antonnia utakuta anacheka na Depal au Lenie na cocastic yani hakukuwa na makundi.. kabisa tulikuwa hadi raha hata ukitupia vocha inakuwa rahaa.. kama family.. mambo ya uchawi na watu wachache wachache wanakuuuza mambo sana hukoo.. imekuwa ka jukwaa kakikuda kinoma kila ukoja majungu.. mie nalala nao mbele mmkoko badala ya mwingine...baana nashusha mmoja baada ya mwingine