Selfika na JF: Snap it. Show it


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii kali mie natoka na Jack?? Jack huyu huyu??? Afu kumbe Countrywide nina mke mwenzangu humu na husemi nyie mie sitakiiii khaaaaa!!!

Lete lete baba tuone panapovuja [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Nina raha mie hatimaye mambo yanakua peupe!!!

Afu huyo mke mwenza si goma lako wewe?? Ko mnashare na Kantri??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tulia kwanza mie sina manzi humu siwezi penda fake ID na avatar.... ngoja nikamalize kwanzaa hapo .. nakuja
 
Mbombo ngafuuuuuu, ngumu kumezaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Antonnia shouzzzzz njoo hapaa kumesha kuchaaa. Woiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe list ndo iko hiviiii? Mbna habari cnaaa? Woiiiiiii

Mjep naomba tufunge ndoa haraka, tusi wa disappoint waja wa JF.

Mwenyewe nashangaa hapa nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti natoka na Jack??

Jack Palladino baba fanya kunitumia ticket nije ulipo tufanye kweli kumbe wamenikabidhi afu me sijui?!!!

Nimekubali kuwa official bi mdogo [emoji8][emoji182]
 
Mwenyewe nashangaa hapa nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti natoka na Jack??

Jack Palladino baba fanya kunitumia ticket nije ulipo tufanye kweli kumbe wamenikabidhi afu me sijui?!!!

Nimekubali kuwa official bi mdogo [emoji8][emoji182]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ina hatariiii uduguuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…