Not jf! Huyu alikua insta enzi izo alikua Ni mwanafunzi mipango dodoma!
Ni 7 years back.
Jf toka inni anipige na kitu kizito Sasa hivi najua wote Ni manjemba tu humu ndani kasoro Cute Wife tu ati
Hilo bundles liko wapiii? Mbna silioni mie?Nimekutumia bundle mchuchu usilale
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sina boss mavi wa hivyoo banaaa Boss wangu ni mzito sana
Pa kuweka napajuaaaHilo bundles liko wapiii? Mbna silioni mie?
Khaaaah makubwaaa.
hii ID na ofisini navyo heshimika.. dah 😅😅😅😅 itakuwa kivumbi.. napewa maua sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa unaogopa nini??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo shouzzz hajui hata, go on nikitoa mie uhakika, km mie muongo wee hayaa.Makosa hayajirudii Tena mchuchu Sasa hivi mpaka nipewe go on na mnywani wangu wa nguvu Antonnia jasusi bobezi langu la kimataifa
Chief unataka kunigombanisha sasaKile cha miezi mitatu kwa Cute Wife kimekamilika chief.
hebu njoo pm unieleweshe kwa kweli sikuelewi[emoji23]
punguza hasira utakua mweusi😂Kifupi ni WABAYA japo sijazaa ila sio wazuri pale wana iPhone 7 plus sasa kwenye tecno sijui watatokaje achilia live [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Hapana WABAYA WABAYA WABAYA Mxxiewwww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lini ilikua?Pa kuweka napajuaaa
Nimeshaweka we check tu
Sasa ukila ban na pm yangu hujafungua inakuaje hapo hahaMimi naingiaga live ushawahi kusikia sauti yangu?? Me nikishapandisha majini sijali naingia live sio shida zangu kabisaaaa!!! Muulize Kantri akupe habari zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na siku nikilewa nawarukia hewani na ndio siku ya kula ban ya kwanza humu[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Shem nasubiri mzigo wangu tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem hana baya kwanza ananidai kesho namtumia vocha ya elfu 10 nilimuahidi sio kila siku agawe tyuuu!!!
Naomba ulalee uduguuu, sitakiii kuona unalumbana na watu humu. Itaonekana wee ndo mgomvi.Kifupi ni WABAYA japo sijazaa ila sio wazuri pale wana iPhone 7 plus sasa kwenye tecno sijui watatokaje achilia live [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Hapana WABAYA WABAYA WABAYA Mxxiewwww
punguza hasira utakua mweusi[emoji23]
Chief unataka kunigombanisha sasa
Shauri yako[emoji1787][emoji1787]
Uduguuu usimpee huyooo, itume kwanguu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem hana baya kwanza ananidai kesho namtumia vocha ya elfu 10 nilimuahidi sio kila siku agawe tyuuu!!!
Asante shem wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata usijali kesho nikumbushe nimwambie dogo anitumie nikutumie shem wala usijali