Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio kusutana mkuu tunaambizana ukweli kuna good way ya kuongea na mtu akaelewa lakini unapoona njia iliotumiwa sio sawa kuna muda unatakiwa kuongea au kuwa serious na kuweka joking pembeni
relax chief.
Mi mtu wa masihara. Vitu vyangu usivichukulie sereous. Nachangamsha hadhira tu kusogeza siku za kuishi
 
nibless kwanzaa leo nimeanza lewa mapema 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…