Sijaenda bado kuinunua
Vile nilivyo na kiherehere
Jana na ushindi wetu timu kubwa LFC,,ningewezaje kukaa nayo kimya bila kuitupia?
Nawaambia yaani nitaitupia.
Hapo ni moja tu,ya home
Nikipata ya away si kuna watu watajinyonga humu
.
Miamala ya babe wangu nikiweka si watazimia humu...watamfuata kijana wa watu
Bahati nzuri Bado hawaelewi exactly ni nani maana wanaona nachat na kila mtu..sasa wamebaki kuguess na kukisia stori.