Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma 😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Ivae uselfike tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole chief ndizo habari za mjini🀣🀣🀣
Mm sitaki kusikiaga habar zangu wewe kama mtu kakuambia kitu kuhusu mimi kaa nacho uko uko usiniambie kabisa mkuu afya yangu muhimu sana kuliko hao waganga njaa mkuu πŸ₯±

Vipi cheaf sijapata vocha yako mda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…