Au wanataka muachane
Kamati ya roho mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri wanaume Wanajitambua na ni waelewa
Wangekuwa wa kukazwa upepo na kusikiliza maneno,aisee
Mahusiano yasingedumu..kuna vichaa humu[emoji1787]
makombo? Dawa nikwenda kurogaπ π π pole mwayaaa.. acha nijilie vyangu.. tukiachana utaliunga tela
wawili tu ? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nina list ndefu sana ya nilio ruka nao.. ila hata PM cha ajabu huwa sichart nao .. wala sijawai wasiliana nao hata kwa ujumbe mmoja
Kabisa tena ilushindi mzuri shem
ππππππ«£π«£π«£π«£π«£..Itakuwa basi kweli kuna wawili umewala ndiomana wanazushia wenzao kwa wivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa walikuwa wapi kumtafutaHata tukiachana ndo watampata sasa??? Kwa Kantri wanajichosha tyuuuu!!!
Yupo mbele ya muda yule [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
haha kikubwa usisitishe huduma ya vifurushi kwa baadhi ya wachuchu Kama kina Aaliyyah asije akakosa bundle na pm zangu akashindwa zifanyia kazi.Hamna namna chief
Tutafanyaje sasa
Uzi umekua kijiwe cha umbeya ma legend wote wamekimbia aisee
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mie na Unique Flower ni kama samaki na maji.. alafu siku watatushangaa hapa
[emoji28][emoji28][emoji28] vijana wadogo mna date nao.. mkitongozwa na sie wazee.. mnatufungia PM.. pambaneni na vijana wenu
Sasa ebu kajibu ile PM yangu basi kwanzaa π€£π€£π€£Me sijawahi kudate na yeyote humu zaidi ya chugga man [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Hamna namna chief
Tutafanyaje sasa
Uzi umekua kijiwe cha umbeya ma legend wote wamekimbia aisee
Mdaka machozi Kama mdaka machozi.[emoji23][emoji23][emoji23] Ntakuchapa
HeeπππππππHivi hujasikia kuwa Mr Vocha anatoka na St Anne kamnunulia hadi jezi!
Ni balaa na nusu mdogo wangu
Ndomana piem yangu umeikazia mwezi sasa
Afadhali umekuja na kaselfie matata
tulia weweMpk wanaume wana vigroup wameungana na wadada kazi yao ni umbea tu!!! Wanakuja piem wanatongoza afu wanasambaza chat na pic zako!! Kuna wengi nimewaona huko piem wanaleta
Tena hii niko serious ladies kuweni makini piem mtaabika nawaambia