Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa picha walipeleka pm kwa mtu ya Nini?
Ila nyie Kuna vitu vinachekesha


Sasa huyo waliyempelekea anawaonaje?

Ni vingi vinapelekwa mpk tukaifunga piem yake!! Me naona kuna watu wanampenda Kantri wanashindwa kumwambia wanatumia maneno ya kuniponda ili wampate sijui?!!!!

Afu mbona Kantri yupo muda humu walikua hawamuoni?? Hebu Kantri njoo uwaambie me na wewe tukoje?? Maana nilikukataza usiingie huku, ila kwa hili njoo ulitolee maelezo leo tufunge mjadala
Countrywide njoo honeyyyyyy
 
Ujue eti wanatuimbia parapanda

Yaani nilicheka sana.

Mimi na HS tulicheka ,tukasema Mungu atupe uhai tusife mwaka huu.
Tukifa mbona ndo wataongea sana
 
Au wanataka muachane
Kamati ya roho mbaya



Uzuri wanaume Wanajitambua na ni waelewa

Wangekuwa wa kukazwa upepo na kusikiliza maneno,aisee
Mahusiano yasingedumu..kuna vichaa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…