Selfika na JF: Snap it. Show it

Cheka tu ila usiombe yakukute [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma 😁😁
 
Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma 😁😁
pole dear ex 😬😬😬
 
Sasa wanapata nini?? Afu mingine midume kabisa nayo inashadadia umbea humu yaani tafrani aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa picha walipeleka pm kwa mtu ya Nini?
Ila nyie Kuna vitu vinachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa huyo waliyempelekea anawaonaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wangejuaga.. mie hata kifanyio sina..

wakati wanatahili wakakikata chote.. hapa napiga tu makelele masaa yaende.. ila watu kumbe wanaona nipo serious [emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zile picha za kahawa za Mlimani City zinachanganya watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawajui sisi jobless tunazurula
Mlimani City ndo sehemu ya kupata hewa safi,kiyoyozi cha bure.
 
Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma [emoji16][emoji16]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona?? Me nakwambia humu kuna watu wana stress sio bure

Eti single mama unatafuta huruma nyie khaaaaaa!!!
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tupost basi zile tupo Arusha eeeh 🀣🀣
 
Elewa neno KIFINYIO 🀣🀣🀣🀣
pole chief kumbe watu wana wivu namna hii
Mimi pia na vivocha vyangu nimekua victim 😁
Nibalaa
wangejuaga.. mie hata kifanyio sina..

wakati wanatahili wakakikata chote.. hapa napiga tu makelele masaa yaende.. ila watu kumbe wanaona nipo serious πŸ˜…πŸ˜…
 
Tushawakemea


Sema tukikaa tunacheka sana[emoji23]
Maskini yule dada wa watu ndio nilimuonea huruma zaidi[emoji1787]
Hata huyo National Anthem hamjui hata kwa picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]

Bora hata wangekuzushia iwe kweli itabidi National Anthem akupe kifuta jasho, kashfa kubwa hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Elewa neno KIFINYIO 🀣🀣🀣🀣
pole chief kumbe watu wana wivu namna hii
Mimi pia na vivocha vyangu nimekua victim 😁
Nibalaa
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Pole sana chief.. ila tuishi nao mkuu.. hizo watu ni small mind ndio maana zakaa zinatengeza movie.. mie hayo matusi sijawai hata fanya nashangaa mkeka huo niliopita naoo.. ingekuwa kweli mbona ningevimbam.. inabidi usitishe msaada wa vocha
 
Bora hata wangekuzushia iwe kweli itabidi National Anthem akupe kifuta jasho, kashfa kubwa hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sio mie ndio wanipe kifuta jasho πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. kupita mtu na dada yake bonge la fantasy ... sijui nilifanyia nini sasa wakati hata kadudu sina.. wana pepo hao watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…