Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii kitu imekuumiza sana lakini kwa nini usimtaje ili iwe funzo kwa wambea wengine

Sitoi kiki ila msg sent
Afu mbona wewe siku ile tulikubembeleza na coca umtaje yule mtu ukala njoro


Huyo mtu aliyepeleka pic kaenda na I’d mpya… sema nenee tuwapotezee watu wenyewe hawajiamini wanakimbilia piem za wanaume hovyo
 
mbona hawakimbilii PM zangu au kwasababy sina demu πŸ˜’πŸ˜’
 
Halafu siku ile nilikuwa nataka nichangamshe uzi wa selfika ila wewe na amini hii kitu ni kweli maana toka jana ni bora ukapotezea best😁
 
Nashukuru Mungu Ni Mwema.

Nimefurahi Pia Kukuona Naimani Unaendelea Vyema.

Yeah Kitambo Ila Tupo Pamoja Naona Uzi Wako Pendwa Umewaka Moto Ndani.

Mkuu kichwa kichafu,upo?
Nimefurahi kukuona Mkuu..kitambo sana sijakutia machoni humu jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…