Siku hizi hakuna mahaba yeeh!
Mashaba,
Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha,
Ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha,
Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa,
Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,
Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,
Mwanzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeeh!
Mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh!,
_
_______
Dj
View attachment 2720961