YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Sina jipya uduguuu ngoja niangalie zanyuma huko!!
Lete hata hizo za nyuma kikubwa hips lionekane [emoji39][emoji39][emoji39]
Sina jipya uduguuu ngoja niangalie zanyuma huko!!
Kuna mmoja kaediti picha huko juu paja la chocolate mkono wa baunsa☹️nimecheka kifala nilivyo muona.Mselfike jamani acheni kuleta pic za wengine tunahitaji zenu halisi, km wewe intelli hilo pic lako la kututisha na maunga hatutaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me si nasema ukweli😂ACha upambe🤔, kushinda makaange ya samaki😂🤣😀
Huu ugomvi was kisu Sasa 🤣😂😂Kuna mmoja kaediti picha huko juu paja la chocolate mkono wa baunsa☹️nimecheka kifala nilivyo muona.
na nimtu ambae namjua sana kwamba ni rangi ya giza totoro🤭
kama ndio wewe✋asalamu alaikum.uheshimiwe sana humu ndani.Kama hii😬kam
Sema we ni 🔥🔥Me si nasema ukweli😂
Acha ufara wewe njoo huku umalizie bao lako na leo zamu yako kutoa mutoto yule wa mwishoo😂🤣🤣Unique Flower anaelewa michakato yetu ni 🔥🔥🔥🔥
Penseli 4 is back 🤣😂😀kama ndio wewe✋asalamu alaikum.uheshimiwe sana humu ndani.
nashauri utengewe sehemu Yako humu Ili wasikuboe kabisa.
haiiiiiiiiiiii😅😅✋✋
Malizia basi hiyo inshu wivu tu hutakiYah! nitakamatia hivyo, vyuma acha nimkaange kwa Unique Flower 😅😅😅😅
nuzurati nimrembo mkuu waasili sio hawa makeup holder'sPenseli 4 is back 🤣😂😀
Kuna mmoja kaediti picha huko juu paja la chocolate mkono wa baunsa[emoji3525]nimecheka kifala nilivyo muona.
na nimtu ambae namjua sana kwamba ni rangi ya giza totoro[emoji2960]
Sio mimi mkuu ni Google imetenda miujiza😁😁kama ndio wewe✋asalamu alaikum.uheshimiwe sana humu ndani.
nashauri utengewe sehemu Yako humu Ili wasikuboe kabisa.
haiiiiiiiiiiii😅😅✋✋
wewe unasura nzuri?kamandio iweke hapa tuione kamasio nzuri kachambie chooni.Sura mbaya kama kaniki ya mganga Lenie
Tumchambee shagasti asikuzoee mshamba_hachekwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwingine kaiba pic yangu kaedit lkn imemgomea hapa nasubiri alete pic yake naye afu mshamba_hachekwi nakuangalia unavyonitafuta acha usnitch dogo u shem utaisha ss hivi
hebu nitumie yakwakwo pm niipambanishe na ya nuzurati Ili nawewe nikupe heshima Yako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwingine kaiba pic yangu kaedit lkn imemgomea hapa nasubiri alete pic yake naye afu mshamba_hachekwi nakuangalia unavyonitafuta acha usnitch dogo u shem utaisha ss hivi
Mie sitaniani nawatu sio wasijawazoea kata shobi sina time nawewe wala sikujuiwewe unasura nzuri?kamandio iweke hapa tuione kamasio nzuri kachambie chooni.