Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hizi id mpya hazina hata mwezi zinakuja humu kusumbua watu aisee nahisi ni kipenseli aisee[emoji23]

Wala sio id ya mpya usibadili gia angani!!! Nimeona usnitch wako na hao wajinga wenzio sasa endeleeni kuchukua pic afu mna edit nawapeleka kwa Mello mtafungua id zingine nawaambia oohooo!!! Sitaki kujuana na watu tusitake kuonyeshana upande wetu wa pili!!
 
weka lisura lako hilo tulione Acha mbambamba.
Sura kama tanki la jumuia , meno ya meachana kama vidole vyenye fungus , umepauka mpaka ukila chakula tumbo linahesabu , unasauti mbaya kama kasuku , kamtu kamenenepa mahali mahali sio pote , kishingo kibaya kama cha kuku kashingoo, unakijitambi cha mawazo , unasura mbaya kaka dada kiboga , unahema kama kenge, miguu yako inamanyoya manyoya kama kuku
 
Sura kama tanki la jumuia , meno ya meachana kama vidole vyenye fungus , umepauka mpaka ukila chakula tumbo linahesabu , unasaiti mbaya kama kasuku , kamtu kamenenepa mahali mahali sio pote , kishingo kibaya kama cha kuku kashingoo, unakitakitambi cha mawazo , unasura mbaya kaka dada kiboga , unahema kama kenge, miguu yako inamanyoya manyoya kama kuku
sawa umepumua Sasa haya weka picha tukuone.
 
Sura kama tanki la jumuia , meno ya meachana kama vidole vyenye fungus , umepauka mpaka ukila chakula tumbo linahesabu , unasaiti mbaya kama kasuku , kamtu kamenenepa mahali mahali sio pote , kishingo kibaya kama cha kuku kashingoo, unakitakitambi cha mawazo , unasura mbaya kaka dada kiboga , unahema kama kenge, miguu yako inamanyoya manyoya kama kuku
🙆🏾‍♀️😁😁
 
Nuzulati, Cute Wife, National Anthem, Antonnia nime kuja Sasa🤗😀
FB_IMG_16925386993543208.jpg
 
wala hata sihusiki mimi[emoji23] wasi wasi wako tu

Mwambie alete nyingine ila asisahau na yake ile ya black n white
Afu hata akiedit bado pic inamuumbua me pini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe si umeona kitu kimesimama afu pale kabla sijayaotea maokoto dadeq [emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Alete za ss hivi nikiwa napita JKNI km naenda kupanda daladala za kkoo
 
Back
Top Bottom