Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona kuna kenge hazijikubali bado kutwa kuzurula kunitafuta afu nilijua mchawi mwingine kabisaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe mtu ambaye sikuwahi kumuwaza dah!!! Fresh namkaribisha awe adui yangu na namuhakikishia hatokaa apumzike humu si anataka bifu? Avute kiti akae
Pacha wasamehe ili tuuze bandari😂🤣😂🤣
 
Naona kuna kenge hazijikubali bado kutwa kuzurula kunitafuta afu nilijua mchawi mwingine kabisaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe mtu ambaye sikuwahi kumuwaza dah!!! Fresh namkaribisha awe adui yangu na namuhakikishia hatokaa apumzike humu si anataka bifu? Avute kiti akae
Uko wapi nikuletee bange ya malawi kwanzaa 🤣🤣🤣..

😅😅😅😅.. achaneni bwana.. tuondoe stress
 
Naona kuna kenge hazijikubali bado kutwa kuzurula kunitafuta afu nilijua mchawi mwingine kabisaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe mtu ambaye sikuwahi kumuwaza dah!!! Fresh namkaribisha awe adui yangu na namuhakikishia hatokaa apumzike humu si anataka bifu? Avute kiti akae
Wataje kwa majina, Kama kweli una hasiraa🤣😂😂🤣🤣😂🤒
 
Nakuaminia One woman Army Uduguu!! [emoji123][emoji123]!!

Ule uhair hio rangi guu auweeeeehhh [emoji7][emoji7][emoji7]!!

Wakileta pic zangu wasisahau kuleta na zao tu nawakumbusha kabisa ili wadau watoe maksi
 
Screenshot_2023-08-20-15-55-57-85_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
 
Back
Top Bottom