Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Asa bamia yenyewe italipia bills jamaniWewe si ulisema unapenda bamia hela ya nini tena kama bamia ninayo? 🧐
Asa bamia yenyewe italipia bills jamaniWewe si ulisema unapenda bamia hela ya nini tena kama bamia ninayo? 🧐
C.c Intelligent businessman mshamba_hachekwi National Anthem mjua sie humu ndio hatuna wapenzi.. au wenzangu nyie fresh 😒😒😒😒... tunaishije aiseeKo Tunao kojoaa nyuma ya nyumba Ni maboya au😁😂,
👉Beside nasaka hela ili familia yetu iishi viZuri na niishi Malengo yangu.
Kaa kimyaAloo
Niulize single mwenzanguSingle mwenzagu Niku ulize swali😂😁
Ahahah unapewa kwanza bamia af tukitoka hapo ndio tunakwenda kulewa af tukirudi tunaendelea pale tulipo ishiaAsa bamia yenyewe italipia bills jamani
wese mkononi😅C.c Intelligent businessman mshamba_hachekwi National Anthem mjua sie humu ndio hatuna wapenzi.. au wenzangu nyie fresh 😒😒😒😒... tunaishije aisee
Pua kama tundu la gesi
nikiwa huku sense zinakataEm mtag hapa 😅
Mi na Lenie ndo masingle Humu🤗C.c Intelligent businessman mshamba_hachekwi National Anthem mjua sie humu ndio hatuna wapenzi.. au wenzangu nyie fresh 😒😒😒😒... tunaishije aisee
Me nimeokoka sikuhizi nimeacha kulewaAhahah unapewa kwanza bamia af tukitoka hapo ndio tunakwenda kulewa af tukirudi tunaendelea pale tulipo ishia
Mdomo komaaaKaa kimya
Sema unataka juice gani?Me nimeokoka sikuhizi nimeacha kulewa
Ni mwendo wa juice tu
Mtag tu usiogopenikiwa huku sense zinakata
Mamaaaa nitamtag?
Kwanza kabla hujajichanganya
Nazungumzia asbh ya alfajiri… yai limepasuka 😌😌
Single + single 🤒 is equal to =😁Niulize single mwenzangu
#single forevaaaa✌️
Tena nisikuone unaongea tena maana nitakupiga ngumi ya pua 😂😂Mdomo komaaa
Hapo zinavyochoma umenikumbusha hebu nimfate chumbani nistue kimoja🏃🏿♀️🏃🏿♀️😁😁😁Khakhakhaaaa.. mi napenda fupi fulani alizoshevu zinavochomachoma unaeza kojoa kabla asee 😁😁😊!
Mfyuuuu ! Weka hata mkono tyuuu naweweNakuogopa we mandonga was kike😁,
Mango + passionSema unataka juice gani?
Double single😅Single + single 🤒 is equal to =😁