National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
tumsubiri boss Nuzulati aweke mambo sawaUlete inshu Sasa🤒🤒🤒💪
tumsubiri boss Nuzulati aweke mambo sawaUlete inshu Sasa🤒🤒🤒💪
Ngoja nikirudi Tz nitakutafuta 😁Nije twende.. tupange ratiba.. but mambo yangu ndio huwa nayapeleka kwa utani utani hivyo hivyo.. usipo nijua unaweza ona nazingua.. 😅😅😅😅..
Wizara ipi Sasa????, Halafu Bei ya BMW 6 ni bajeti ya wizara ipi mzee😁🤒bei za hayo magari😂 ni bajeti za wizara
Uko india uongo😁🤒Ngoja nikirudi Tz nitakutafuta 😁
Poa.. .. Upo kule ? Nileteee kitu basi usiache ( kuna nyama flani hivi zina protein ya kufa mtu ) nikikumbuka jina nakutumia, kuna jamaa yangu huwa ananilitea 😊😊😊 sasa hivi naomba uniletee weyeNgoja nikirudi Tz nitakutafuta 😁
Yale mafuta ilibidi tuonane na mimi kuonana na member wa jf ni No😁😁😬😬😬😬 alafu nimekumbuka unilitia hasara yale mafuta ya samri.. 😵💫😵💫😵💫😵💫😵💫😵💫
😅😅😅😅Sio bosi mimi nabangaiza kwa kuuza Azam ukwaju😁😁
Sio India nipo Tanga😁😁Uko india uongo😁🤒
😅😅😅 ila kipindi kile hakukuwa na maluwe luwe kama sasa hivi.. ulinikwaza ningekuwa naweza kukumeza ningekumeza kupitia PM .. yalitoka Musoma yaleYale mafuta ilibidi tuonane na mimi kuonana na member wa jf ni No😁😁
Nilikuwa nafikilia niende au nisiende 😁😁😅😅😅 ila kipindi kile hakukuwa na maluwe luwe kama sasa hivi.. ulinikwaza ningekuwa naweza kukumeza ningekumeza kupitia PM .. yalitoka Musoma yale
Nili mind sana tu 😅😅.. nikasema acha nikaushe.. nimewasumbua vijana wangu kule.. alafu weyeeee 😵💫😵💫😵💫😵💫😵💫😬😬😬😬😬Nilikuwa nafikilia niende au nisiende 😁😁
Pole sana 🙆🏾♀️Nili mind sana tu 😅😅.. nikasema acha nikaushe.. nimewasumbua vijana wangu kule.. alafu weyeeee 😵💫😵💫😵💫😵💫😵💫😬😬😬😬😬
Tanga sehemu gani🤔, nilikuwa mwahako last month.Sio India nipo Tanga😁😁
Kwa Msisi 😁Tanga sehemu gani🤔, nilikuwa mwahako last month.
😡😡😡😡😡😡😡Pole sana 🙆🏾♀️
niletee basi hizo nyama 😊😊Kwa Msisi 😁
Ukichukia huwa unapendeza sana rafiki😡😡😡😡😡😡😡
Nakuletea zongo 😁😁niletee basi hizo nyama 😊😊
acha ukorofi nitakung'ata sikio.. nataka Bull BrandNakuletea zongo 😁😁