National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
😅😅😅 nakuonaTafuta za base au jbl mzee🤒
😅😅😅 nakuonaTafuta za base au jbl mzee🤒
🤣🤣 Airpods ziko njema bana. Zimeku disappoint nini?
Nime fanyaje tena mzeiya National Anthem 🤣😂😅😅😅 nakuona
😂😂😂😂Samalekoooooooo sis!!
Jana nilipitwaaa sis irudiwee irudiwee!!😘😘
😂😂😂UmenifurahishaWee,mi hapana Kwa kweli........
Mta kuja kufa😂🤣🤣sana, tulale sasa badae supu ya pweza
Tafuta za base au jbl mzee![]()
Mkuu labda una shidavya masikio Sasa, Kama vipi Chukua earphone za jbl- ukibisha na hapo wakuzike tu😂🤣Nazo ni overated
Airpods ziko njema bana. Zimeku disappoint nini?

Mkuu labda una shidavya masikio Sasa, Kama vipi Chukua earphone za jbl- ukibisha na hapo wakuzike tu![]()
😂😂😂 kwanini?😅😅 ile code 9393 haina jipyaa wala nini.. kujichosha kama nimekimbiza upepo
Upate og, uta enjoy Sana.Nikipata muda ntarudi nikazitafute hzo jbl
Upate og, uta enjoy Sana.
Kuna rafiki yangu Ali nunua pods za jbl-, akapata na ear phone zake ni
![]()
hakuna kitu.. 🤧🤧😂😂😂 kwanini?
usingizi hauji, ila macho mazito kinoma dah! na wife nishakuta kaenda kanisa.. hata angenibembeleza nilaleMta kuja kufa😂🤣🤣
Ko ulikesha nje na miche 🤣😂😂, halafu ye ndo aje kukubembeleza🤣😂😂.usingizi hauji, ila macho mazito kinoma dah! na wife nishakuta kaenda kanisa.. hata angenibembeleza nilale
Hee
Sasa wanapeleka picha zako za nini PM Kwa mtu?
Ama ni mapaparazi hai!( Kwa sauti ya Cash Money Forever)
......
Nia Yao mgombane ili mimi nisipate zile oda zenu za cake wazungu wa roho
Washindwe aisee
Hamuachani ng'oo.

Sawa kipenzi nasubiria blessings zako badaeWeeekend bado ipo ccy