Selfika na JF: Snap it. Show it

Masikio yao itakuwa mpawa tupu

Akiyanani watu mna vichambo vya jumla jumla


Yule mzungu ponea yake ni kiswahili hajui
Vichambo vya kizungu havinogi

Unakumbuka siku ile mpk nikamkataza asiwachane?? Ni huu ujinga wao kila mara piem cute kafanya hivi, cute kafanya vile mpk tukaifunga piem yake

Leo sasa pic ya kwanza nashangaa natafutwa kwann umeselfika na nilikukataza khaaaaaa!!!
Ss Antonia akasema sijaona nimtumie nikatuma chap nikafuta, dk 10 hazijafika naonyeshwa screenshot yangu naambiwa tena kazi yako hiyo!!! Na muda huo Kantri alikuwa busy anaangalia mpira wa Man hata hajaingia, sasa najiuliza huyo mwana mtoka pabaya aliyejambwa na mamaake yalimsibu yapi??

Km anamtaka Kantri si atume pic yake atoe maelezo aeleweke!!!! Mimi Kantri alinipenda mwenyewe kabla hata hajanijua nafananaje mwenzao!!! Na alivyoniona ndo katua haelewi lolote wanajichosha tyuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…