Selfika na JF: Snap it. Show it

Sichochei mr vouchaaaa kama umependana na mtu komaeni na Jambo lenu sio kujadili watruuuuu wasiowahuu ili muonekane wasafii๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!
Haswaa Yani wew kunywa tu Pepsi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃumenisuuza roho
 
Masikio yao itakuwa mpawa tupu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Akiyanani watu mna vichambo vya jumla jumla๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Yule mzungu ponea yake ni kiswahili hajui
Vichambo vya kizungu havinogi
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!!
 
Unamsema mtu afu anapelekewa kama yalivoooo hadi ya kuhusu Ndugu zako dadeqqqq !! Na majina yotree ya viherehere walipmfata pm anatajiiwaaa๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ
Hahaha Kuna nini Tena mnywani!
Mbona warap alone.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Huyo mtu kama yupo hapa anajuta
 
Hizi stories zinazotungwa humu za kusisimua
Tukipeleka bongo movie ni tuna hela ndefu

Watungaji wamekwiva sana kwenye mambo ya flash back
Flash forward
Wapo makini sana.
Mie wananchekesha wanavotamani kunipangia cha kuandika cha kukoment Cha kufanya humuu hahaa!!
Nitume picha za ajabu mimi waweweseke waooo?? Nyieee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wanataka kunifundisha heshimaaa bwahahahahahahahahah!!! Nipo nimekaa paleeee ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ