Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijali,
kama maneno yangekuwa risasi,basi wewe wangekuwa washakushuut
Kwakweli uzuri maneno yao najua sio ya kweliiii Ndiomana walaaaa sina habareeeee naoooπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•Ί!!
 
Penseli leo hapa hayupo ni hawa hawa tumbili wa Mikumi waliojikalisha kimya km maiti ilioshindwa kulipiwa itoke mochwali ndio waliopeleka au wewe shem
Shem, basi inatosha mama
Samehe tu
 
Unaogopa maneno Madam?
Hata usipochangia mbona utasemwa tu

Maneno yanakutisha?

Binafsi ntaacha kuchangia nikiamua mwenyewe ila si kwa sababu ya maneno ya wapumbavu wachache.
Nishawapotezea,maana hawana kazi,kazi yao ni kutunga tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…