YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Acha kabisa shem
Yaani nasingiziwa mimi hapa kisa vocha
Afadhali umekuja
Nimemshangaa huyu dogo!! Yote kunitafutia ugomvi na babe wangu?!! Anafurahi tukiparuana na kaka ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]