Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku hizi hakuna mahaba yeeh!
Mashaba,
Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha,
Ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha,
Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa,

Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,

Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,

Mwanzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeeh!
Mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh!,[emoji445]
_
[emoji445]_______[emoji445]

Dj[emoji344]
1692377202649.jpg
 
Siku hizi hakuna mahaba yeeh!
Mashaba,
Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha,
Ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha,
Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa,

Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,

Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,

Mwanzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeeh!
Mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh!,[emoji445]
_
_[emoji445]
Natamani kuwa single hila nina upwil unanikaba kooh__________[emoji445]

Dj[emoji344]View attachment 2720961

Jinyonge shogare kwann mapenzi yakutese [emoji23][emoji23][emoji23][emoji17]
 
Mpe namba ya wakala akuwekee pesa ya kulewa bas ila ukumbuke j3 tuna jambo letu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Silewi shogaangu najiandaa na j3
Sitaki kabisa kukuangusha my bff
Halafu gentleman haombwi hela anatoa mwenyewe
 
Back
Top Bottom