Ntakupasua π€£π€£π€£π€£π€£ we jishaueBFF naomba kwa hili nikachekee chemba friji langu haligandishi ππππππ
Nimekumbuka mecheka sanaβa
Ni aibu kubwa kwa wanaume kuwa wambea kukaa katikati ya dadaz na ku-gossipInasikitisha sana
Halafu wanaume ndo wambea sana kuliko hata sisi dada zao
Ila leo umenichekesha hivi unajua nikikumbuka tu nacheka peke yangu πππππππππNtakupasua π€£π€£π€£π€£π€£ we jishaue
Yeah ni pesa au simu, the choice is yours[emoji23]Nimwambie dogo asiende kupeleka hela kwa Nengatronix?? [emoji23][emoji23][emoji23]
J3 naanza novenaHapo kwa Kantri nishalia sana na maombi ya novena juu!!! Ss hivi nilisema siongei kitu chochote, nitakua nakuangalia tu!!
Nawe unaliaga na nani humu? [emoji23][emoji23][emoji23]
We unatakaje boss wangu?? πππYeah ni pesa au simu, the choice is yours[emoji23]
π₯°π₯°π₯°π₯°ππJ3 naanza novena
Achana naoNi aibu kubwa kwa wanaume kuwa wambea kukaa katikati ya dadaz na ku-gossip
Nilipanga kuwaweka sawa na kuwataja wote waache huo ujinga. But haiwezekani tena
Again, nilipokosea I'm sorry my dada
Ni aibuππππ
Naliaga acha kabisaHapo kwa Kantri nishalia sana na maombi ya novena juu!!! Ss hivi nilisema siongei kitu chochote, nitakua nakuangalia tu!!
Nawe unaliaga na nani humu? πππ
Me naliaga mpk nakuwa mwekundu, hata simu sipokei!!!! Nitashinda nalewa, Hasira zikiisha namtafuta babe wangu nitajituma hiyo siku km shangingi la magomeni ππππNaliaga acha kabisa
Nikiona battle ntashindwa naanza mapema kulia
Jamaa mdhaifu mno kwenye machozi.
Yupo busy anapambana na hali yake kutafuta pesa..hashindi humu
Atashindaje huku π€£mwishowe awe Mbea bure π
Yesu anakaribia kurudi ππNi aibu
Kizazi kimeingiliwa hikiπ€£
Eti shangingi la magomeniπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Me naliaga mpk nakuwa mwekundu, hata simu sipokei!!!! Nitashinda nalewa, Hasira zikiisha namtafuta babe wangu nitajituma hiyo siku km shangingi la magomeni ππππ
Me situnzi hasira za muda mrefu napenda sana kucheka, niikimmiss na yale maujinga yetu basi namtafuta
Huenda unalijua, huyo last born wangu mnafanya naye kazi huko mjini π€ͺhili shati na koti mbona kama nalijua
We chizi ujueππππππ shauri yakoIla leo umenichekesha hivi unajua nikikumbuka tu nacheka peke yangu πππππππππ
Babu unatupiga hadi sisi wajukuuHuenda unalijua, huyo last born wangu mnafanya naye kazi huko mjini π€ͺ
Nakubali Kakaπ€
Nime kukumbuka Sasaπ€π
Wazee huwa hatusemi uongo ujue π€ͺWe chizi ujueππππππ shauri yako
Babu unatupiga hadi sisi wajukuu
80 mbona bado kabisa tuna nafasi ya kukuita haniiii haniiiiWazee huwa hatusemi uongo ujue π€ͺ
Nimebakiza miaka 2 tu nigonge 80 π€ͺ