CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Marahaba totoo, hujambo?hahaa...
wanamuita binti vidimpo
Ulilala?wee, sema kweli...
Pole, madesa yamepitaπ’nilitingwa na majukumuπ
em tingisha madesa
Sina jipya kabisaπtuendelee kuswampa jfπ au una jipya?
πππ kumbe chips zinatengeneza shapenaona unatengeneza lishepuπ
Nyash ipoπwe kula uone utavokua na nyashπ
anunue azuma kwanza, muhimu sana hiyobaada ya hapo sasa unalitafuta lishangaziπ
nimekumbuka Carraso anakaa Ununiohaha
sio lishangazi la mbagala rangi tatu mzee....
Unahisi sijafika huo umri, hapa yenyewe nataka niende Mahakamani kudai nyongeza ya Umri.babu unajishusha sanaπ
Uzee ni fahari, ila usiwe Mzee wa hovyo tu kama wale wengine πusijizeeshe bana unapenda visukari na viharusi?π
Ka airtel ama π π²π€sijambo naomba kavocha dada yangu kipenziπ
As u wish..aisee, basi tu achaπ
Hongkong selfika chiefππ
Muda mzuri huuNgoja giza liingie