Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona mnataka muanze tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu. Huku kupo kindugu zaidi
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me nakuzuia?? Haya bana
 
Unaona sasa kama huyo haijulikani analala saa ngapi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anasemaga Chadema ni mpango wa Mungu
Eti kuna haja ya kufungua TV yao

Sema mimi huyu jamaa,sijui dada
Ananichekesha uwasilishaji wake.

Ninachompendea hatukani matusi kama wenzie walioshindikanika utadhani kwao hawajalelewa na watu wazima.
 
Wewe ndio umenileta huku, hebu sema nitoke uone kama ntarudi tena huku.

Kule kwenye siasa sasa hivi bavicha wameajiri robots 24/7 wapo active. Utaweza? Alafu sasa hivi majukumu yamekua mengi sana, kule inahitaji uwe na muda sana

Kuanzia leo huku usiingie. Ukiingia iPhone 14 nasubiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao sasa hivi wana muda mwingi sana, kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 9 usiku wapo macho. Sisi wengine majukumu yamezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…