Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa sikuhizi kuna hekaheka miambiliiii kidogoo Sumbai mi mwenyewe kila leo wengine naona wapyaa tyuuuu . Ini itakua Alibadili username banaa haonekani kabisa humu!
Okay.. hujambo lakini. Happy to see you.
 
Mate yanavyokutoka sasa!!
Wala sijaona hiyo picha naona sifa tu. Aweke nitoe marks, uzuri nina jicho kali sana hasa linapokuja suala la kujua pisi kali na pisi mbovu. Alafu kuwa pisi mbovu wala sio dhambi

NB: anivumilie kwa maoni nitayotoa, napendelea kuwa muwazi zaidi
 
Antonia usiweke katumwa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…