Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu unatishwaa na michepozzz? Mama mijengo mbna sio shida zetu.
 
Unaona shughuli hii shem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unique Flower umeona hiyo
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Wee udugu cocastic mbona umemwaga maji mengi hivi??
 
Udugu eti kuna nyau zimeenda Tanga kwa pesa za shem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio Tanga, hata Maldives, wala hanistuiii kwa kweliiii,
 
Hajakujua bado bi mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu tamba mama la mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchepoz unataka kushindana na mama mjengo?? Aoneshee cheti cha ndoa kwanii!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu unatishwaa na michepozzz? Mama mijengo mbna sio shida zetu.

Kumbe uongo udugu kaendelee kuulilia tyuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nikajua exclusive kumbe wadangaji wa vocha wamemjaza maua maneno tupu

Katombeke mdogo angu wasikukaushe uzazi
Ngoja na mie nikamchungulie mzee wa Yanga leo ana hasira wamefungwa sijui km nitapewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kwann unamkataaa mke mwenza wa mdogoo akoo??

Sio vizuriii bhanaaa, khaaah
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo hatuna pa kulala wallah[emoji1787][emoji119]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira za kufungwa umehamishia kwake mabao yaliyotakiwa kufungwa na Yanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojoaaa, woiiiiiiih
 
Maua umeona shem yuko na cocastic katerelo huko wanasuguana vikojoleo [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji23][emoji23]

Kantri babe nisamehe leo nimeshindwa ule mtihani tuangalie kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu miee, khaaaaah
 
Shem maneno magumu hayo
Ushatupia vitu wewe😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu inaweza kuwa kweli, tatizo mie ndo mama mjengo, funguo na file za maisha ya shem wako ziko kwangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kwann unamkataaa mke mwenza wa mdogoo akoo??

Sio vizuriii bhanaaa, khaaah

Nasemaje

Mama Aminaaa mbelee [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…