Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Hakuna kuna mpya mpya ndio ilienda tanga na dada ake ndio maana nilitaka kukupa huo umbeya saivi mtalia sana mwanamke ananyonga kiuno kama mhindi . Yaani mwaka huu mtaibiwa sio huyo tu wotree humu.Shem kapewe yotreee tu ππππ
Shida ni NiniπShida sio hela bhana, ila Wanawakeππ€£
πππ acha basi kunikumbusha. tumeachana miaka 2 sasa... yule mwarabu banaAkuuu kuna demu namchukia ila nikipona nitamchamba ila kwa sasa wewe noma hadi picha ninayo hivi yule alikuwa mhindi eh kuchi kuchi umeonekana ukiwa kwao masaki unalalia vitanda vya gharama
Kwemaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Dah we ndo una niua kabisa, semaa aiseeππ€£π€£πππ sasa bro weww bad unatakiwa kukaa kwa shemeji ujakua bado
Na mimi niite dear leo.Toka nizaliwe sijawahi kuitwa namtu aisee.Ngoja nifute dearπ
@Mjep hajanijuza km huyo ndo mke mwenzaaa, muachee achakazwee afu aachwee, awaulize wenzie.
Asije ona watu wabayaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππDah we ndo una niua kabisa, semaa aiseeππ€£π€£
Nime ambiwa nimuache kwa Mudaππ€£Shida ni Niniπ
Semaaa ata jutaaaππ€£π€£πππ
Yes , nasema ukweli ila mtoto mzuri aisee kawaka huyo manager amemnunulia gari fulani majuzi tu na bado mwenzako akaitwa na mwanadada hao kwake wakapiga za kwao hadi asubuhi kaachwa kwa demu hadi alipoamka ndio manaa siku hizi mbili alikuwa hayupo alikuwa anatafuna kitumbua toto gugu hajakuambiaπππ kumbe ndio zake
Hakuna hati miliki leo wametolewa out wenzako tanga tena kwa siri jamaa alitoa hela ilinasionekane mna shem kiwembeOyooooooooo!! Unique Flower umesikia jibu kutoka kwa ma mjengo mwenye hati miliki zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DahAaaaaw leo ntalala mlango waziππ
Nipe hela nikufichie siriπππ acha basi kunikumbusha. tumeachana miaka 2 sasa... yule mwarabu bana
Alafu unajua kudekeza . unaweza nivunjia ndoa zangu wewe mtoto
Tenaa mpe salamuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oyooooooooo!! Unique Flower umesikia jibu kutoka kwa ma mjengo mwenye hati miliki zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We baby wako huyu hapa ππ€£π€Na mimi niite dear leo.Toka nizaliwe sijawahi kuitwa namtu aisee.
Ndiwoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unabebika[emoji28]
Hakuna kuna mpya mpya ndio ilienda tanga na dada ake ndio maana nilitaka kukupa huo umbeya saivi mtalia sana mwanamke ananyonga kiuno kama mhindi . Yaani mwaka huu mtaibiwa sio huyo tu wotree humu.