Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,881
- 147,438
Nakusalimia mtu wangu[emoji7]Shem kama shem
Natafuta House girl naamini utanifaa
Ila ibaki tu kwamba wewe ni bonge la hustler
Mungu akubariki zaidi na biashara zako zishamiri zaidi unatupiga gepu kubwa sasa sisi waajiriwa