Selfika na JF: Snap it. Show it

Naumwa udugu umbea wa kijiweni umenipita, labda unipe wewe najua unawashwa kooni kuna kitu, emu kitapike nikusaidie kukupa glass ya maji
Mfyuuuuuh!! Cna jipyaaa, afu muambie Mjep aache uongoo,

Wee muambie hivyo, yeye ataelewaa.
 
Astaghfirullah astaghfirullah astaghfirullah dunia imefika mwisho.
Hapa sio pa kusikitika tena
 

wamejipanga kweli kukunyakulia mume udugu ko umesalenda??

Nimecheka hapo kwenye dildo khaaaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…