Selfika na JF: Snap it. Show it

Udugu wananichosha hawa tyuu!! Mimi niache kufanya vitu vya maana nianze kumchunga CW kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wao waniite akiwa anataka kunicheat nije nimzodoe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kisukarii kimeanza lini??
Mbna ghaflaa sanaaa.
 
Coca ninaomba nikulipie nauli ya ndege uende uganda hata ikiwezekana VIP.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uganda cha mtoto, naweza kwenda Russia go n return, tena kwa nauli yanguu.

Babu yako Mu7 hana jipyaaaa tenaa. Poleeee wee.
 
Wengi wapo hivyo kweli, wala hujakosea. But tupo wachache ambao hatupo hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uganda cha mtoto, naweza kwenda Russia go n return, tena kwa nauli yanguu.

Babu yako Mu7 hana jipyaaaa tenaa. Poleeee wee.
[emoji1787][emoji1787] huko ndio dawa yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…