Selfika na JF: Snap it. Show it

Jr sio damu yenuu uduguuu ilaa atakuja kula kekiii anazipenda balaa...
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Penseli comments ni nyingi nimeshindwa kusoma zote. Utanikunbusha tuliishia wapi

Leo si ni weekend vile? Basi tukutane baadae kidogo, mpaka nikuvalishe pampers
 
Mungu akubariki Mkuu,heri unatambua hilo la kututia moyo kwa kutusapoti...Wanawake wadangaji wanatuona wajinga[emoji1787]
Wewe niungishe tu,usiwe na hofu kabisa...Ninajali sana privacy za wateja wangu.
Yes kaza buti
 
[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Umekuja mapema sana haupo busy huko?
Ngoja nimalizie malizie mambo, si weekend leo haraka ya nn?
 
Fanya mambo au km vipi tupia ya ka baby [emoji12]
Nawashwa na huyo mtoto km umemdhulumu kaka angu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠!! Ukiwa tayari nistue niwabless kachanga uduguuu afu maziwa ni mengii sana hadi anapaliwa sijui nifanyeje!! Sikuhizi pozi la kuselfika sinaa uduguuu nguo inajaa maziwaa hadi zinaweka alama na tits zimejaa kama za Ng'ombe anaenyonyesha🤠🤠🤠🤠!
Trumbo sasa 🙌🙌🙌🙌🙌😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…