Selfika na JF: Snap it. Show it


Wee kuna nini? Ig mbona imechachuka sana hii week kwann?? Hebu fumba macho tuombe kuna ndoa na mahusiano yanaenda kuvunjika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anatoa ushauri yeye km nani? Humu tuna comment chochote, mwenye uchungu akazae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi shogare naona umeamka na mood ya “Usiniguse”
Shogaangu umeamkajeee umepona????
Namkanya totoo yasije kumkuta naona mambo si mambo
 
Uduguuu Una nn lakini?? Nimechekaaa had bas,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee sanaa mwayaaa.

Udugu had Ex wangu President T na Mr MU nimewaota leo na niliwahi kuwagonganisha unaambiwa ilikuwa kivumbi!!!!! Hii ndoto sijaielewa kabisaa afu nilikuwa kwenye campaign za kumpitisha MUSO na huyo ex simjui kwenye uhalisia, namuona ndotoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu eti nakaa Kingo na best angu Asnath anatoka na Prof Kinemo dah!! Hii ndoto ishindwe me hayo mazingira mbona siyajui kabisaa
 
Shogaangu umeamkajeee umepona????
Namkanya totoo yasije kumkuta naona mambo si mambo

Dogo atulie akiona humu hapawezi a log out akaendelee na kazi zingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🎵🎵🎵You're sweet like pipi mamaa
I can fight
I can kill someoneFor you
Because am in danger zone (oh no)
This feeling feeling that am feeling
It's too much
I see future, life with you is so brighter
Nakupenda sana, you know that
I'll die for you
Ooh sweet heart, life with you is so sweeter
Nakupenda sana, you know that
Nakupenda sana, you know that
Yeah🎵🎵🎵😍
 
Mdogo wangu
Huu ujumbe ninaiprint naufanyia lamination kabisa
Umetisha sana hata Doto Magari hakufikii😅😅😅
 
Nyiee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mjep ni mzungu
[emoji119][emoji119]



Mtanikoma na jezi yangu ya Liverpool
Yaani mtanikoma humu ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91]


Mjep [emoji7][emoji3060][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe Mbinguni ni uhakika ,Haina mpinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu
Huu ujumbe ninaiprint naufanyia lamination kabisa
Umetisha sana hata Doto Magari hakufikii[emoji28][emoji28][emoji28]
Ni vile tu siingii sana IG

Yaani hata mwijaku haoni ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Huna baya,usife
Hata ukifa hauozi
Na ukioza haunuki
Hadi masihi anarudi wewe tunaenda wote Mbinguni [emoji91]
[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…