Selfika na JF: Snap it. Show it

Alafu likaka lizuri balaa namlia timing kudadeki alafu aunt Yako nina kasauti ka kudeka
Nasemaje nasemaje nimekaa pale😂😂😂😂
Unachelewa wapi sasa bana unaniuziiii🤣🤣🤣

Vijana wazuri wachache ujue, wengine ndio mapapai kama hivi. W
We mbebe jumlaa ndio wachapishe kitabu kabisa😂😂
 
😂😂😂Mimi bhana Yani mtu kunivuruga ni dakika sifuri tu lakini nikikaa sawa siachaji kesi kizembe Kwa kifupi uyo bwana nambeba Yani jumla 😂😂😂😂
Ndio ndiooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilikuwa natafakari nafanyaje nimejipima namuweza na hapa hapindui akileta ujinga namroga Yani hapa ukinipa mm nambeba Yani natak huko pm wasizame tu wazamie 😂😂😂
Mloge muweke kwenye chupa kabisa, aone wasichana wengine kama tumbili🤣🤣
 
😂😂😂Mimi bhana Yani mtu kunivuruga ni dakika sifuri tu lakini nikikaa sawa siachaji kesi kizembe Kwa kifupi uyo bwana nambeba Yani jumla 😂😂😂😂
subiri umetangaza vita kabisaa kuwa unataka umbebe bwana yake eeh 😅😅😅😅 mie nakaa hapo naangalia mtanange ...
 
Aunt hayuko online katuma kibaraka😂
Nashangaa kona nyingiiii, mara gono, mara ukimwi, sijui nimegongwa sielewi😆
Sasa yule dada nimemkosea nini mimi😂
Anyway, I pray for her, mental health is real.
Nalala dada🥰
Lala mdogo wangu usisahau kuwaombea hao watu Mungu awaponye hiyo roho ya chuki na makasiriko iwatoke

Sema aunt kazingua🤣🤣
She should act her age, hizi kutukanana na kudhalilishana ni ujinga na utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…