Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bosss wewe huchuji juzi tu hapa umenipa laki moja kisa tu nimekusifia nani kama wewe CEO na mwakan tuna nunua jf huna uswahili ukifa wewe uozi nakwambia na ukioza unuki πŸ˜‚
 
Hapo natamani niwe kama yeye Yani na mimi niwe na boobs, kiuno laini, tako, nitafurahi sana

Nina mpango wa kufanya surgery. Niwe shemale ? Ila sina hela 😭😭😭😭😭
Nenda ubalozi wa marekani.
Mbona ni chap tu nikki wa pili 🀣🀣
 
Unajua nini bro, huyo kiumbe wala hata simjibu
Kaweka dislikes kachoka anajitekenya

Too old for that bullshit
Wala usipate shida nae, huyu niachie nipo nimeacha majukumu yote kwa ajili yake.

Penseli ni lazima atasanda.

Penseli wewe ombea nisiwe nalog in jf. Ila kila nikipata muda wa kuingia humu nina wewe
 

ndo ukome na ufisi wako!!! Si nakwambia kila siku mpigiane video call kabla ya kuonana

Afu Mello aweke live km TikTok hayo majibizano ya humu yangependeza sana
 
Sorry, unajua jina la penseli likija na lako huwa linakuja sijui kwa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…