Selfika na JF: Snap it. Show it

Wala msianza kufichaficha huyo ni penseli pamoja na ndugu yake cocastic. Huu uoga wenu wa kutowataja ndio unafanya hawaachi hii tabia
Yaan mie nianzee kuwasemaa watu ambao A - Z Zao hazinihusu na hazinistuiii?? Nna mengi ya kufanya ila sio hayooo.

Drama zenu za JF zinaishiaga kwenu wahusikaaa, sina mda wa kuwazungumzia wasio husika na mie.

Km kwenye hayo manjegekaa mnanihusisha na mie, bas mkaanze upyaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bosss wewe huchuji juzi tu hapa umenipa laki moja kisa tu nimekusifia nani kama wewe CEO na mwakan tuna nunua jf huna uswahili ukifa wewe uozi nakwambia na ukioza unuki πŸ˜‚
 
Hapo natamani niwe kama yeye Yani na mimi niwe na boobs, kiuno laini, tako, nitafurahi sana

Nina mpango wa kufanya surgery. Niwe shemale ? Ila sina hela 😭😭😭😭😭
Nenda ubalozi wa marekani.
Mbona ni chap tu nikki wa pili 🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] emu niwacheeeee, nalalaa mie.
 
Unajua nini bro, huyo kiumbe wala hata simjibu
Kaweka dislikes kachoka anajitekenya[emoji706]
Too old for that bullshit
Wala usipate shida nae, huyu niachie nipo nimeacha majukumu yote kwa ajili yake.

Penseli ni lazima atasanda.

Penseli wewe ombea nisiwe nalog in jf. Ila kila nikipata muda wa kuingia humu nina wewe
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ukome na ufisi wako!!! Si nakwambia kila siku mpigiane video call kabla ya kuonana

Afu Mello aweke live km TikTok hayo majibizano ya humu yangependeza sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…