Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,333
Ngoja nifungue kwa browserPole sana atakusimulia Darlin g
Au nenda kwenye page ya liver instagram uangalia wametoa uzi mwingine kit#3 imetulia sana
Kuna saa mtu unaamua zako kumind your own business Ila bado watu watakuchokonoa puani mradi tu wakukwaze.Hadi Lenie Mtumishi mwenzetu umeandika lugha Kali hivi!
Kweli umeboreka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
wana waharibia watoto wa watu...National Anthem kwan wakisema umeungua kuna shida? Au wanaona unafaidi baada ya kuungua ni washamba ukimwi kitu cha kawaida ila tuzushiane mambo ila tusiharibiane futere
Wapuuzi wanafaa kupuuziwaSijui kwa nini sisi wapole huwa tunazinguliwa sana kwenye social media. Anyway ndio binadamu walivyo
Watajulia wapiKumaintain short hair ni expee basi tu hawajui
Duuuh pole sana. Ndo maisha uliyochaguaMimi sifai, alafu mimi kila siku wanaamchoronga
Huu uandishi ni wa kike kabisa. Kweli hauwezi kukaza hata mwandiko?Eeeeh dawa iwaingie vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Mpaka kieleweke
NA BADO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpe pole dada wa watu.. Muambie bro big anakupa pole.. muambie sasa hivi nina kilo 40kg [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji7][emoji7][emoji7]Unipe location mapema ukifungua bakery [emoji39][emoji39]
Laka mwanatu kesho nayo sikuwana waharibia watoto wa watu...
Mie kwanza sina ukimwi na sina magonjwa namshukuru Mungu..
Sema gona nilale .. kumbe saa sita
🤣🤣🤣🚮uandishi ni wa kike kabisa
😆😆😆Kusukaa hayo manywele yao ya elf 20
Sare poo kama jezi za wafungwa??
Waingie saloon za kunyoa waulize bei
Waone km watatoboa na nazi zao 😂
kama kunyoa ni rahisi nao wakanyoe eeeh 😅😅😅 .Unanyoa huna hela ya kusuka🤣
Umehamia kwa Coca [emoji1787]Acha tu nisikitike sina namna. Sorry coca, naona umepaka make-up?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimestaafu drama za JF, Relaaaaaax.Acha tu nisikitike sina namna. Sorry coca, naona umepaka make-up?
Baba mstaarabu sana yule na ananikubali sana so asingeweza kuona nachafuliwa akakaa kimya 🤣🤣🤣🤣Yule baba wenzake wanampelekea umbea
Na yeye anautoa nje
🤣🤣
Hivi unajua wale sio wazima?
Sema napenda sekta yake ya kukana
Mjomba anajua kukana yule 😂😂😂
Utasutwaa 😃😃 na wahudumu wa vodaHapa leo hakuna kulala kwa heka heka izi voda naombeni murekebishe bando langu liende polepole paka kukuche
Kwa sura na mabichwa gani??🤣🤣kama kunyoa ni rahisi nao wakanyoe eeeh 😅😅😅 .
Nilijaribu😆😆😆Kumaintain short hair ni expee basi tu hawajui