Selfika na JF: Snap it. Show it


[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kumbe na wewe umeungua
Kweli una haki ya kuloga mtu, hapa patakua padogo

Wasemehe tuu
 
Nilivyopata hiyo stori nikasema ah akhsante wanazidi nipaisha Saint Anne mie nilipoa
Natembelea humohumo biashara zangu ziende.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uwe unatutumia na vipicha vya keki, hasa zile za chocolate slices za 10,000 au 15,000
Hizo ndio zenyewe, delivery kila sehemu me ntakua wa kwanza[emoji2960][emoji2960]
 
Uduguu umefika? Mjep hebu njoo shem tumalize kesi hapa, jirani yako kafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuwiii
Shem kama shem umetoa wapi tena huyu kivuruge wangu jamanii
Nitaweka wapi sura yangu mimi wallah
Umeona sasa shem umeharibu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kumbe na wewe umeungua
Kweli una haki ya kuloga mtu, hapa patakua padogo

Wasemehe tuu
😒😒 nitamalizana nao mmoja mmoja nje ya uringo..

wanasema nimeungua na mie nafanya kuua wengine..

Watu wakipoteza muelekeo wa maisha yao wanaanza vurugia wengine.. humu banaaa 😬😬😬😬😬..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…