Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20261009-173813~2.jpg
 
Unaogopa nini sasa nawe! Unapita chap unafuta!!

Hiyo video unasisitiza sana looh!!🙄

Nipe mji nikupe tarehe😁
hapo nimekusoma mkuu, maana hua nikipitaga humu naona watu wanajadili ila picha zenyewe hakuna 🤣

mji kwa sasa ni mmoja tu "kizimkazi"
 
Back
Top Bottom