Selfika na JF: Snap it. Show it

jf imekuwa ya kishenzi kupita maelezo.. mie huko nimeambiwa nachezea watoto wa kike na kuwatelekeza ukiwaukiza nimalala nani hawajibu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…pa hovyo sana humu
Watu wachache kuna mzee mmoja na maind sana hapa jf nilikuwa nipo bise na jukwaa la siasa kaanza kutmbea pm za watu kunizushia ya kunizushia
 

Unique Flower hivi kuna boda mwanamke au ulichapia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…